LGE2024 Kinondoni: Waandikishaji wapiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa waanza kuandikisha kabla ya muda wala uwepo wa mawakala

LGE2024 Kinondoni: Waandikishaji wapiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa waanza kuandikisha kabla ya muda wala uwepo wa mawakala

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kuandikisha tu majina ya watu figisu chungu mbovu hao ndio wasimamie uchaguzi wa haki! Samia na magenge yako acheni kufanya maigizo yenu ya kishamba. Tunajua democrasia haipo na namna ya kuipata sio kupitia huo ujinga wa masanduku yako ya kura. Wakati utasema tu na haki za watu zitapatikana.
 
Waandikishaji endeleeni na kazi hao wapuuzi kwanza hawajajipanga kushinda uchaguzi hata huyo anayebwabwaja domo soon utamuona CCM ashanunuliwa kama alivyo Msigwa
 
Nilitembelewa na wajumbe niache shughuli zangu niende kujiandikisha nilijikuta nakwazika zoezi ni la siku 10 mtu kaja kusimama mlangoni kwangu kunilazimisha eti niende kwanza nikajiandikishe
 
Huu n upuuzi.....wachukuliwe hatua wote....alianza muda nnje na huyo mwenye sentensi mara "ujinga" mara "upumbavu".....serekali simamieni maadili ya watu wenu.
Hata huyo mwenye kinguo chekundu achukuliwe hatua....nnchi hii haiwezi endeshwa hiv!
Teh! Adabu itawale***nb: sitetei mwandikishaji wala huyo dada mwenye mitusi kama zimemruka akili.
 
Waandikishaji endeleeni na kazi hao wapuuzi kwanza hawajajipanga kushinda uchaguzi hata huyo anayebwabwaja domo soon utamuona CCM ashanunuliwa kama alivyo Msigwa
Mi ni chadema bt naungana nawe kbs
 
Dada wa chadema hongera sana. Hivi hili zoezi linafanyika mkoa gani? Ni mikoa yote?? Mbona huku kwetu pako kimya totorooo?
 
ajabu mawakala wa chadema huko kwenye kuandikisha wanakosa hata chakula cha mchana na maji ya kunywa ukitaka kuamini chadema ni watu wa hovyo

huyo dada wa chadema anataka kuvuruga zoezi kwa makusudi na makasiriko binafsi ya njaa kali iliyomkabili jana hapo kituoni
 
Huyo dada naye mpuuzi tuu ujuaji mwingi wameenda kuharibu zoezi tu hapo hawana maana

Hakuna wakala anaye ruhusiwa kupewa idadi ya wapiga kura walio andikishwa waache ujuaji hao CHADEMA

Kingine huyo muandikishaji haruhusiwi kuonesha nyaraka hizo kwa hao waganga njaa wa CHADEMA. Over
Hapo kosa kubwa ni kuanza kuandikisha kabla ya saa mbili mana mawakala wakija saa mbili wanaweza kukuta tayari watu ambao si wakazi wa eneo hilo wamejiandikisha.
 
Back
Top Bottom