Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sky asante sana kwa hiki kibonzo! Nasikia wabunge ni 50:40 % kwa chama cha Bobi Wine na MuseveniView attachment 1679680
My take: Wapinzani wa Uganda walipitia mateso makali wakati wa uchaguzi lakini wamepata wabunge kadhaa japo urais walipoteza, sisi hofu yetu ilikua kubwa tumenyongwa kweli. Tusitegemee matumaini ya ushindi wakati tumejaa woga.
Wamejitahidi sana hapa inawezekana Kaguta hakutaka yaliyotokea kwa jirani yamtokee yeye, maana mbelewya wana demokrasia ana bunge lenye upinzani. Au huenda aliweka nguvu nyingi kulinda kiti cha Urais.Sky asante sana kwa hiki kibonzo! Nasikia wabunge ni 50:40 kwa chama cha Bobi Wine