papag JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,156 Reaction score 1,667 Aug 31, 2013 #1 hallow madoctors! kuna kanyama kameota kwenye shina la uume wangu.Naogopa kukakata.je ni nini na inasababishwa na nini? tiba yake? Shukrani sana
hallow madoctors! kuna kanyama kameota kwenye shina la uume wangu.Naogopa kukakata.je ni nini na inasababishwa na nini? tiba yake? Shukrani sana
K Kim Jong Un JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 496 Reaction score 263 Sep 1, 2013 #2 pole kama hakaumi hizo ni warts.... nipm namba yako nikutumie dawa lakini baada ya maelezo. NOTE: kutoa dawa adhalani ni hatari maana mtu mwenye ugonjwa tofauti unaofanana na huo anweza kutumia bila maelezo maalum
pole kama hakaumi hizo ni warts.... nipm namba yako nikutumie dawa lakini baada ya maelezo. NOTE: kutoa dawa adhalani ni hatari maana mtu mwenye ugonjwa tofauti unaofanana na huo anweza kutumia bila maelezo maalum