Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo pm fasterJamani wana jamii forum mwanangu wa miez mitatu anajisaidia kinyesi kimechanganyika na maziwa alionyonya nn inaweza kuwa shida msaada
Naona unataka kuitendea haki I'D yako mkuuNjoo pm faster
Ungeweka Picha Ya Kinyesi Chake.. Vingine ni kawaida KabisaJamani wana jamii forum mwanangu wa miez mitatu anajisaidia kinyesi kimechanganyika na maziwa alionyonya nn inaweza kuwa shida msaada