Kinyesi kilichochanganyikana na maziwa

janjab

Senior Member
Joined
May 28, 2015
Posts
172
Reaction score
56
Jamani wana jamii forum mwanangu wa miez mitatu anajisaidia kinyesi kimechanganyika na maziwa alionyonya nn inaweza kuwa shida msaada
 
Inamaana kuna matatizo katika mfumo wa usagaji chakula na mtoto anaitoa lishe haiingii mwilini. Wahindi hospitali.
 
Jamani wana jamii forum mwanangu wa miez mitatu anajisaidia kinyesi kimechanganyika na maziwa alionyonya nn inaweza kuwa shida msaada
Ungeweka Picha Ya Kinyesi Chake.. Vingine ni kawaida Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…