naliwahi kumpeleka hospitali ndio wakasema ajaribu kula vyakula laini na kutumia mapapai kila mlo, lakini hali bado ni tete kwa madaktari je mmewahi kukutana na kesi kama hiyo?Miaka MITATU bado mnajaribu kubadilisha chakula? Mpeleke hospitali akapimwe. Kuna magonjwa ya tumbo na utumbo yanayosababisha kinyesi kunuka.
naliwahi kumpeleka hospitali ndio wakasema ajaribu kula vyakula laini na kutumia mapapai kila mlo, lakini hali bado ni tete kwa madaktari je mmewahi kukutana na kesi kama hiyo?
Ana umri gani? Ukiacha mapapai, anapendelea kula vyakula gani? maana kuna vyakula kama mayai, parachichi na baadhi ya vileo; ukivitumia lazima utatoa kinyesi chenye harufu kali.
Sijaelewa kwani kinyesi huwa kinanukiaga? Hiyo harufu kali ni kwa kipimo cha maabara? isije ikawa munampa ukoko na miba ya samaki na mikachumbali iliyo chacha. Tena mukionesha kuchoshwa na yeye kwa hilo mbele yake anaweza akachukua aftershave na manukato yenu anywe kwa siri, chukueni tahadhari. Si umsikia housegirl alipolaumiwa kuto tunza vizuri vijiti vya kuchokolea meno. ikawa kila akimaliza kutumia vijiti anarudishia katika mkebe wake ili asilaumiwe