Kinywa kukauka na kupoteza ladha ya asili

mr_yoo

Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
36
Reaction score
23
Habari za mchana wakuu kuna tatizo limenitokea kama mwezi mmoja hivi kinywa kinakua kikavu na kupoteza ladha then nakua na test mbaya mdomoni ni ugojwa gani huu? na nini Tiba yake? msaada tafadhali.
 
Habari za mchana wakuu kuna tatizo limenitokea kama mwezi mmoja hivi kinywa kinakua kikavu na kupoteza ladha then nakua na test mbaya mdomoni ni ugojwa gani huu? na nini Tiba yake? msaada tafadhali.
Wahi hospital kuna bakteria tayari wanafanya yao mdomoni
Ulishawahi kuzama chumvini,?
 
kapime mkojo na choo!
au kuna dawa yoyote umetumia hivi karibuni?
 
tafua mouth wash skutulia hilo tatizo litaisha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…