Wewemwenyewe
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 282
- 310
Ni kinywaji gani unavyokunywa unahisi umetengenezewa wewe kwa namna kinavyokuingia kooni kwa ladha yake tamu mdomoni mwako.
I see,I like Grand Malta!
mbege bariiiidi ππππππ
Pepsi baridiNi kinywaji gani unavyokunywa unahisi umetengenezewa wewe kwa namna kinavyokuingia kooni kwa ladha yake tamu mdomoni mwako.
I see,I like Grand Malta!