Kinywaji kisicho na kilevi badala ya pombe

Kinywaji kisicho na kilevi badala ya pombe

kibovu

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
702
Reaction score
759
Wakuu poleni na majukumu.

Ndugu zangu na dozi ya dawa ila leo nataka nitoke out sehemu nzuri yenye muziki safi nicheze na mtoto mzuri, sasa naombeni mnitajie jina la kinywaji kizuri cha heshima kisichokuwa na pombe ili ning'oe mtoto mzuri akafurahie penzi la msukuma.

Asante.
 
Kunywa mtindi tu mkuu maana hata energy drinks sio nzur kama uko kwenye dozi
 
Maji kubwa ya Kilimanjaro, redbull moja pembeni na nyama choma unakula taratibu huku ukiendelea kusoma nyuzi za jf hasa ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara.
 
Kunywa bajtika ni kama bia kila kitu harufu povu ladha ila haina kilevi kabisa
 
Maji kubwa ya Kilimanjaro, redbull moja pembeni na nyama choma unakula taratibu huku ukiendelea kusoma nyuzi za jf hasa ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app

Kinywaji changu pendwa hiki, ila wakati mwingine suppliment ya maji inakuwa cocacola plus spirit kama konyagi nikitaka stimu kidogo!
 
Sasa wewe mwenyewe upo kwenye dozi, utaweza kwenda kutoa dozi? Au mnataka kutushughulisha tu.
 
Back
Top Bottom