Imenibidi nicheke sana khaUrusi walisifia sana kinzhal kwamba inapiga bila kuonekana, kwenye hii video Putin aliisifia kama ndio kila kitu, yaani inakwenda kwa hypersonic speed, sasa Marekani kaipa Ukraine patriot chache tu ambazo zimeiacha Urusi chali....
Supapawaaa......
Wekeni picha moja ya kinzhal iliyoharibiwa.Urusi walisifia sana kinzhal kwamba inapiga bila kuonekana, kwenye hii video Putin aliisifia kama ndio kila kitu, yaani inakwenda kwa hypersonic speed, sasa Marekani kaipa Ukraine patriot chache tu ambazo zimeiacha Urusi chali....
Supapawaaa......