Kioja cha Raila, aahirisha kuapishwa kwake

Wakenya hawajawahi kuwa na akili
 
Watu wenye akili nzuri wanajua sana kumtumia Raila, baada ya Kibaki na Uhuru kumtumia vizuri na kufikia ndoto zao awamu ijayo sijui ni Msalia Mdavadi au nani sijui!
 
Raila hataki kuamini Zama zake zilikuwa za kina Daniel Arap Moi na Mwai Kibaki, hizi za Uhuru Ana force King
Raila should groom new leaders...his time has come. He should call it off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…