PreGE2025 Kiongozi akifanya vyema apewe maua yake, tuache siasa za chuki bila sababu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Labda kama unajadili n watu wengine ambao sio Watanzania.

Kipimo Cha Kiongozi Bora Kwa Watanzania wajinga (wengi) ni
-Dini
-Timu anayoshabikia
-Jinsia
-Uwezo wa kuongea Kwa makelele
-Kuongea Lugha za hovyo wanaita ukweli/Matusi
-Kujigamba
-Kufanya mamiradi yasiyo watoa kwenye umaskini ilimradi ni makubwa
-Kukandia na ku ku deal na wenye nazo
-Kufanya maigizo ya Kisiasa
-Kujiita mzalendo


Sasa hayo na mambo mengine ya kipuuzi ndio hoja za Watanzania Sasa ,Kwa kuwa Wanasiasa wajanja wajanja wanajua huu ujinga wao ndio Wana capitalize hayo mambo harafu wanaonekana wajanja.

Hakuna Mtanzania atauliza kwamba hivi 2021 tulikuwa na Vituo vya Afya vingapi na Sasa viko vingapi tumpime Kiongozi,never.
 
Mbususu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…