kiongozi kama naibu waziri wa tamisemi kasimu majaliwa yafaa ajiuzuru kwa kauli yake. mwishoni mwa mwezi wa 12 waziri huyu alisema ajira za ualimu zitatangazwa mapema mwezi january, saihiv tunaelekea mwez february hakuna dalili zozote, kwa sbb hiyo kiongozi kama huyu anastahili kujihuzuru mapema na asisubiri kikao cha bunge kumuondoa.
Dahh...poleni viongozi. Kwa hali, yaani kwa kauli tu mtu ajiuzulu, kila siku kutakuwa na nafasi nyingi za wazi. Kwa hali hii wafujaji wa mali za umma wanaweza kunyongwa, miili yao kutupwa baharini.
Sipati picha Raisi atakapotakiwa kujiuzulu.