Kiongozi kama huyu tumchukuliaje?

wise g

Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
6
Reaction score
0
:sad: ujue kuna vichwa vibovu vingi kibongo bongo but vinazidiana ubovu.
Suala la waziri wa elimu kwenda kukaa na wasomi wa chuo kikuu cha Dar halafu akashindwa kuongea nao jambo la maana kuhusu madai yao ya kuongezewa kiwango cha pesa ya matumizi kwa siku kinadhihirisha na kiasi gani Tanzania yetu ilivyo na WATUNZANIA wengi kuliko WATANZANIA.
"Ref: TUSUBIRI BAJETI MPYA HALAFU TUTAYAFIKIRIA MADAI YENU"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…