Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Dec 28, 2024 #1 Kiongozi (mkuu) wa chama ACT wa sasa anaitwa nani? Tangu kuondoka kwa Zitto Kabwe kama kiongozi wa ACT sijawahi kumjua au kumsikia kiongozi wa hiko chama tena, sioni hata akihojiwa au akinukuliwa na vyombo vikubwa vya habari kama BBC na DW.
Kiongozi (mkuu) wa chama ACT wa sasa anaitwa nani? Tangu kuondoka kwa Zitto Kabwe kama kiongozi wa ACT sijawahi kumjua au kumsikia kiongozi wa hiko chama tena, sioni hata akihojiwa au akinukuliwa na vyombo vikubwa vya habari kama BBC na DW.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Dec 28, 2024 #2 Samia anaongoza hicho chama kwa remote control
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Dec 28, 2024 #3 Dada mmoja wa Kichaga