Kiongozi mpya wa chama cha kikristo nchini Ujerumani azitaka nchi za Ulaya zianze kutafuta uhuru wao kutoka Marekani

Kiongozi mpya wa chama cha kikristo nchini Ujerumani azitaka nchi za Ulaya zianze kutafuta uhuru wao kutoka Marekani

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Dunia katika miaka hii mitatu iliyopita kufikia sasa imeshuhudia maajabu mengi na vichekesho visivyotarajiwa.

Marekani imekuwa bega kwa bega na Urusi katika kutaka vita vya Ukraine visitishwe bila kuguswa kwa Urusi
Israel imegaragazwa na Hamas baada ya kutumia nguvu kubwa mpaka inazitaka nchi za kiarabu zisaidie kupambana na adui yake huyo.

Kiongozi mpya wa Ujerumani wa chama cha kikristo cha CDU amezitaka nchi za Ulaya kuanzia sasa zianze harakati za kutafuta uhuru kutoka Marekani.

Kwa zaidi ya nusu karne nchi hizo zimekuwa karibu sana na Marekani katika umoja wa NATO na kujenga nguvu ya pamoja dhidi ya mataifa mengine.

Tamko la Friedrich Merz ni kama kwamba NATO sasa imekufa kama zilivyokufa jumuia nyengine kadhaa duniani ikiwemo OIC,AU na nyenginezo

=========================================================

Germany’s chancellor-presumptive has come out swinging against the United States administration of Donald Trump, hours after winning Sunday’s federal election.

“After [President] Donald Trump’s remarks last week … it is clear that this government does not care much about the fate of Europe,” said Friedrich Merz, leader of the Christian Democratic Union (CDU), in a televised discussion on election night. He called for German “independence” from the US.

On February 18, Trump called Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy a “modestly successful comedian”, who had become “a dictator without elections” who had “done a terrible job”.

It was a dramatic reversal from the tight bond Zelenskyy had enjoyed with Trump’s predecessor, Joe Biden. Zelenskyy offered to resign on Sunday if Ukraine gained immediate NATO membership.

A week earlier, US Defense Secretary Pete Hegseth stunned European leaders when he told them they “must provide the overwhelming share of future lethal and nonlethal aid to Ukraine”, and take the lead in protecting their continent from Russia by spending 5 percent of gross domestic product (GDP) on defence, up from 2 percent today.

Source: Al Jazeera
 
1. Hamas imemshinda Iasrael? Sawa

2. Ulaya na Marekani ni vigumu ndoa yao kuvunjika, huu ni mtikidiko wa Trump na utapita tu, upepo wa muda.

3. Marekani kuwa karibu na Urusi pia ni upepo tu, baada ya hapo hali ya awali itarejea. Haya ni mahaba ya Trump na Putin na sio msimamo wa Us
 
Wakristu wamesha anza kuchanganyikiwa wamuombe ROHO MTAKA BIFU awasaidie
Yaani nimekuona dizaid kama sokwe maana hata ulichoandika sijui kama umekielewa
IMG_20250225_131801.jpg
 
Dunia katika miaka hii mitatu iliyopita kufikia sasa imeshuhudia maajabu mengi na vichekesho visivyotarajiwa.
Marekani imekuwa bega kwa bega na Urusi katika kutaka vita vya Ukraine visitishwe bila kuguswa kwa Urusi
Israel imegaragazwa na Hamas baada ya kutumia nguvu kubwa mpaka inazitaka nchi za kiarabu zisaidie kupambana na adui yake huyo.
Kiongozi mpya wa Ujerumani wa chama cha kikristo cha CDU amezitaka nchi za Ulaya kuanzia sasa zianze harakati za kutafuta uhuru kutoka Marekani. Kwa zaidi ya nusu karne nchi hizo zimekuwa karibu sana na Marekani katika umoja wa NATO na kujenga nguvu ya pamoja dhidi ya mataifa mengine.
Tamko la Friedrich Merz ni kama kwamba NATO sasa imekufa kama zilivyokufa jumuia nyengine kadhaa duniani ikiwemo OIC,AU na nyenginezo
Israel imegaragazwa na hamas huu unafiki wa aina Gani eti hizi stori mnazodanganyana misikitini mnachekesha yaani Gaza imepigwa haitamaniki
 
Israel imegaragazwa na hamas huu unafiki wa aina Gani eti hizi stori mnazodanganyana misikitini mnachekesha yaani Gaza imepigwa haitamaniki
Inatia hasira sana unapopiga mpaka ukaishiwa nguvu halafu unaona kidume kinainuka kinaendelea na pirika zake kama mwanzo.
 
Ufaransa na ujerumani mchana kweupe hawamtaki USA NATO
Hivi unajua Macron yupo US sasa hivi?
Unafikiri ameenda kuzungusha kiuno?

Nasema sio rahis Trump kama Trump ajiamulie kujitoa NATO.
Wenzetu wana taasisi na mihili imara kama Bunge na mahakama.

Trump ni chiz fresh, atabwabwaja mwishowe atapingwa kila kona
 
Inatia hasira sana unapopiga mpaka ukaishiwa nguvu halafu unaona kidume kinainuka kinaendelea na pirika zake kama mwanzo.
kidume kinachojificha nyuma ya maraia wa Gaza huku nyie wafia dini mkipaza vilio Dunia nzima watoto na wanawake wa Gaza wanamalizwa Ili Dunia imkataze Israel baadaye Hamas wanajitangaza washindi
 
Back
Top Bottom