Kiongozi mpya wa chama cha kikristo nchini Ujerumani azitaka nchi za Ulaya zianze kutafuta uhuru wao kutoka Marekani

Wabongo bana mna midomo mikubwa akili kisoda hiyo mifumo ilikuwa wapi wakati usa inajitoa WHO mara mbili
 
Kakudanganya nani?Labda Amerika arudiBiden
 
Hapo kwa Israel wao wanamlaumu Biden....kwao Trump ndo mkombozi na bond ya Israel na Marekani kwa sasa inarudi kua na nguvu kama zamani huku ulaya na Marekani wanaenda kua kama enzi za Us na Israel kipindi cha Biden
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…