zinc
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,391
- 1,068
Kwa mara nyingine tena wana Jamii forum,
Ingawa tupo katika karne ya 21, ninaridhia kabisa kusonga mbele kimaendeleo kama taifa. Hatutegemei tena kukutana na matatizo ya kunyanyasana kimawazo (kwa maana ya kifikra chanya) kwa lengo la kuleta maendeleo mazuri na ya kweli kwa njia ya kushirikishana katika taifa letu huko tunapoelekea.
Huko nyuma kulikuwa hakuna demokrasia ya kweli, kila kiongozi alikuwa na lengo la maendeleo, lakini cha ajabu kutofautiana kwao ndiyo kumeleta matatizo makubwa mpaka leo hii katika taifa letu.
Hivi ni nani alikuwa kiongozi bora na mzuri kwa wananchi wake katika serikali ya mwaka 1961?
Ni kiongozi yupi hakuwa mnafki, bali alikuwa mzalendo wa kweli katika serikali ya mwaka 1961?
Ni kiongozi yupi aliyependa zaidi umaarufu wa kisiasa kuliko wenzake katika serikali ya mwaka 1961 kati ya hawa Rashid Kawawa, baba wa taifa Julius Nyerere na Oscar Kambona?