Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kama sio hadaa na utapeli wa kisiasa kwa wanachama weke ni nini?
Maana ni wazi ndugu zangu kwamba, kama yeye kwa ubinafsi wake amepima na kujitathmini kwamba kwa nafasi anayotarajia kugombea atashindwa uchaguzi huo vibaya sana,
Yanini sasa kuwaburuza wagombeaji wa nafasi zingine mathalani za ubunge au udiwani wasalimu amri ya kushindwa vibaya uchaguzi huo kama yeye?
Kusitasita maana yake kutokujiamini na kutokua na uhakika wa hata unafanya nini kwa manufaa gani na unaelekea wapi kisiasa.
Uongozi mpya wa chadema Taifa umepoteza kabisa uelekeo kwani tayari baadhi ya makada wake kadhaa wameapa kugombea ubunge na udiwani maeneo mbalimbali nchini, wakionyesha wazi kwamba no reform no elections ni scam.
Makamanda hao wamekataa kupotezewa malengo yao ya kisiasa na kuburuzwa na mtu mbinafsi asie aminika na asie na malengo wala maono ya ya athari za uamuzi wake wa kujitenga na mchakato wa jumla wa kitaifa wa kidemokrasi.
Hii chadema ya staki nataka, chini ya uongozi mpya ni nyanya kabisa kwenye ramani ya siasa 🐒
Mungu Ibariki Tanzania