Pre GE2025 Kiongozi wa CHADEMA anadai hakutakuwepo na uchaguzi mkuu Oktoba, ingawa ni wazi atachukua fomu ya kugombea Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
nasikitika kuna vijana wakikubali kutapeliwa pesa, uhuru na haki zao za kikatiba na kibaka wa siasa mwenye uraia na uzalendo wenye mashaka na anaefadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi,

inafedhehesha sana na inasikitisha sana
Wewe ni shetani huna akili
 
Duuh sasa wafuasi wao wawaeleweje sasa...

Itakua amesharamba donge nono kutoka si si em, awapoteze wenzie.
Haya ndo yaleyale ya akina Marehem Hayati EDWARD NGOYAI ROWASSA.

mama mitano tena
 
Watu wa Dar, zoezi la kuandikisha na kuboresha daftari la wapiga kura linaanza tarhe 17/03.
Shime usiache kikiandikisha wewe uliyefikisha umri stahili.

Uchaguzi Mkuu mwaka huu upo na utafanyika mwezi Oktober tarehe 25.

Kikubwa tuombe uzima.
 
Wewe huna akili ndiyo maana huoni faida ya anachosema Lisu
yaani unatapeliwa pesa na kibaka kisha unapata faida?

yaani uanaambiwa hakuna uchaguzi halafu anaekuambia hivyo anachukua fomu anagombea uongozi kwenye uchaguzi huo huo na wewe unakodoa mimacho tu, right?

halafu baadae anakudanganya tena kwamba ameibiwa kura

kuna faida hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…