Kiongozi wa Hamas akutana na Kiongozi Mkuu wa Iran huko Beirut

Kiongozi wa Hamas akutana na Kiongozi Mkuu wa Iran huko Beirut

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Wamekutana kuisaka tena damu ya kiyahudi na kikristu kwa mgongo wa kutafuta haki ya wa palestina.
20231105_052901.jpg
 
Nadhani wa Tanzania tuacheni kushabikia mambo yasiyotuhusu, tujikite katika mambo yetu tuliyozoea kufurahia mipira na betting. Haya mambo ya udini yatatuharibia amani ya nchi yenu. Miaka yetu yote tunaishi pamoja, tunafurahi pamoja, tunasheherekea pamoja na hatujawahi kuulizana dini tukiamini hayo ni mambo binafsi. Leo hii sisi tukianza kupigana wenyewe kwa wenyewe hakuna yoyote sio kusimama na sisi bali hawatajuwa hata tuko sehemu gani. Hawa watu wa huko siku zote wanatuona sisi thamani yetu iko chini kama binadamu. Sasa kwanini tunajijaza chuki bila sababu wakati ni nchi pekee muislamu anaenda kumzika mkristo na mkristo anaenda kumzika muislamu.
 
usijipe ujiko bure hao wakristo hawapendwi zaidi na mayahudi hata kuliko waislamu.

Ati wamekutana kuisaka damu ya kiyahudi na kikristu........ kha!
Ahsante kw msaada wako,,kuna mjitu humu,ikishajua tu kusoma na kuandika tayari,hawajishughurishi kbs na kuutafuta ukweli ni upi? Israel sio taifa la kjkristu,na wakristu mle wabachukiwa sana,pamoja na wa ethodox hawatakiwi kbs na mayahudi.
 
Jamaa anaishi maisha ya kitajiri huku wenzake wanakufa Kwa mabomu
 
Attachments

  • 20231104_220146.jpg
    20231104_220146.jpg
    50.3 KB · Views: 2
  • 20231104_220132.jpg
    20231104_220132.jpg
    19.8 KB · Views: 2
Wacha unafik na uongo.

Uongo unakusaidia nini? Wakristo inawahusu nini kuuliwa wakati wao wenyewe wanauliwa na wayahudi huko Ghaza na Lebanon?

Myahudi akimuona Mkristo anamtemea makohozi ya uso, unalielewa hilo?
Irani na hizbollah si ndio walewale mbwa Koko kubweka ndani ya geti. Hamna kitu watafanya
 
Hawa viongozi wa michongo wote Ni wazee ambao hata kuwafanya wake zao hawawezi. Wamekutana hapa mafichoni kuchochea Vita ambayo wanaokufa Ni watoto na vijana wadogo ambao hawajatimiza ndoto zao.
Hutawaona Hawa wajinga kwenye battle field. Muda wote wamejificha.
 
usijipe ujiko bure hao wakristo hawapendwi zaidi na mayahudi hata kuliko waislamu.

Ati wamekutana kuisaka damu ya kiyahudi na kikristu........ kha!
ndio maana wayaudi wameunda vikunfi vya kigaidi baran afrika kuua wakristu?
 
Damu ya wakristo inamwangwa na Wayahudi huko gaza na ww unashangilia alafu unakija kusingizia waisilam.
 
Jamaa anaishi maisha ya kitajiri huku wenzake wanakufa Kwa mabomu
Mbona hata Netanyau yuko Tel aviv kwenye nyumba ya kufahari na watoto wake wakati watoto wa waisrael wengine wapo gaza wapigana vita na kuuwa na kutiwa vilema, hao ndio wana siasa.
 
Wacha unafik na uongo.

Uongo unakusaidia nini? Wakristo inawahusu nini kuuliwa wakati wao wenyewe wanauliwa na wayahudi huko Ghaza na Lebanon?

Myahudi akimuona Mkristo anamtemea makohozi ya uso, unalielewa hilo?

Tulia magaidi yashughulikiwe! Mbona unawayawaya bibi?
 
Wacha unafik na uongo.

Uongo unakusaidia nini? Wakristo inawahusu nini kuuliwa wakati wao wenyewe wanauliwa na wayahudi huko Ghaza na Lebanon?

Myahudi akimuona Mkristo anamtemea makohozi ya uso, unalielewa hilo?
Waarabu wenyewe wanaiandika Gaza,wewe mmatumbi hili neno 'Ghaza' unalitoa wapi au wewe ni zaidi ya wenye lugha yao?
 
Mnama hii nchi yetu ina matatizo makubwa mno naomba tujadiliane ya kwetu. Bandari tushapigwa,tunadeni linalozidi kukua kama kuku wa broiler, report ya CAG nk nk plz.
Ndiyo maana mjadala wa report ya CAG unakosa nguvu kwasababu ya hiyo vita
 
Back
Top Bottom