joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kuipiku kwenye nini ? Minority kuwa na kila kitu kunywa na kukinai huku wakipata mvinyo wakati majority hawana hata maji ya kunywa...Kama si Nyerere Tz ingekuwa ilipiku Kenya miaka ya 70. Thanks to Kenyatta Sasa tunaongoza Ukanda wa East and Central Africa tukifuatwa na Ethiopia, Namba 3 wanajijua na ndio walioanzisha Uzi huu
Msijali..tutaanza kutekana pia na sisi...lkn kuuwa albino na kula watoto wadogo hilo hatuigi kamwe...nooo!!Huwezi ona wakijibu hii! Ruto saahii anajenga hotel ya rooms 600 Mombasa! That's a $50mln+ facility!
Majirani zetu, lazima mkubaliane na ukweli kwamba, mzee Jommo Kenyatta aliwapoteza sana pale alipoamua kufuata siasa za ubepari zilizozidisha Ukabila. Matatizo yote yanayoikumba Kenya chanzo chake ni hicho.
Kenya haitokaa irudi tena barabarani, haya matatizo yatazidi kuongezeka siku hadi siku, mtapiga kelele na kulaumiana lakini hakuna jipya.
R.I.P. Nyerere, tunaona matunda ya ulichokua unapigania, hukuthamini viwanda vya "tooth paste" na sabuni, badala yake ulijenga misingi ya "Utu", umoja na mshIkamano, kupendana na kuthaminiana, kwamba hakuna mtu, dini wala kabila lililo bora zaidi ya wengine.
Unaongea ni kama kuna Mkenya anayepinga kuwa Ruto ni mwizi. Wakenya wengi wanakubali kuwa Ruto ni mwizi mkubwa sana na binafsi siwezi taka awe rais. Itakuwa ni siku mbaya sana ikiwa huyu mwizi atakuwa rais.Huwezi ona wakijibu hii! Ruto saahii anajenga hotel ya rooms 600 Mombasa! That's a $50mln+ facility!
Wakenya wanashabikia nchi yenye serikali inayozika demokrasia?
Nani kakwambia Kenya viongozi wote wana akili!?
Huyu ni mmojawapo wa viongozi wajinga wa Kenya kama walivyo Tanzania kwenye awamu ya Tano!!!
He’s rightfully so!
Mnachekesha.hawa wahabeshi tunaowakamata kila siku wanaikimbia nchi yao tunawapa uji na glucose ili wapate nguvu tuwarejeshe kwaoo? Kama ndio maendeleo hayo endeleeni tu kwakweliKama si Nyerere Tz ingekuwa ilipiku Kenya miaka ya 70. Thanks to Kenyatta Sasa tunaongoza Ukanda wa East and Central Africa tukifuatwa na Ethiopia, Namba 3 wanajijua na ndio walioanzisha Uzi huu
Vile vile omba omba wenu wamejaa kila Kona ya Miji yote ya Kenya wakizungusha vibakuli.Mnachekesha.hawa wahabeshi tunaowakamata kila siku wanaikimbia nchi yao tunawapa uji na glucose ili wapate nguvu tuwarejeshe kwaoo? Kama ndio maendeleo hayo endeleeni tu kwakweli
Tony254, tatizo la siasa zenu za Kenya ni ukabila mtupu, kuna watu huko Kenya, tena wengi sana wapo tayari kufa ili kuhakikisha Rutto anakua rais, sasa hivi Rutto is the most popular politician in Kenya despite all those allegations.Unaongea ni kama kuna Mkenya anayepinga kuwa Ruto ni mwizi. Wakenya wengi wanakubali kuwa Ruto ni mwizi mkubwa sana na binafsi siwezi taka awe rais. Itakuwa ni siku mbaya sana ikiwa huyu mwizi atakuwa rais.
Unaongea ni kama kuna Mkenya anayepinga kuwa Ruto ni mwizi. Wakenya wengi wanakubali kuwa Ruto ni mwizi mkubwa sana na binafsi siwezi taka awe rais. Itakuwa ni siku mbaya sana ikiwa huyu mwizi atakuwa rais.
Hayo ni maoni yangu. Kuna Wakenya bado wanampenda Ruto lakini wengi wameanza kumuogopa. Mimi mwenyewe sijawahi penda huyo jamaa kutoka kitambo.Mumeanza siasa za maji Taka.
Kwa nini mlimtumia kumuingiza guru madarakani!!?
Kwa hivyo afadhali Uhuru? Mwizi wa mashamba na mali ya kenya tangu 1963Hayo ni maoni yangu. Kuna Wakenya bado wanampenda Ruto lakini wengi wameanza kumuogopa. Mimi mwenyewe sijawahi penda huyo jamaa kutoka kitambo.
Naona hiyo singo ya ombaomba mmeikamata kweli kweli. Sawa hao wachache wametuharibia sifa. Kumbuka pia hao wahabeshi huko South Africa hawendi kutalii ni shida zinawapeleka. Ujuwe hiloVile vile omba omba wenu wamejaa kila Kona ya Miji yote ya Kenya wakizungusha vibakuli.
Usisahau Hawa Wahabeshi hawaji Tz kutafuta ajira au maisha mazuri(Tz ni maskini tu hata kuishinda Uhabeshi) ila wanapitia tu Kama vile watapitia Zambia,Malawi na Zimbabwe kuelekea SA.
Where did i say that?Kwa hivyo afadhali Uhuru? Mwizi wa mashamba na mali ya kenya tangu 1963