Kiongozi wa Kenya aivulia kofia Tanzania, aiponda Kenya kwa sana.

Naona hiyo singo ya ombaomba mmeikamata kweli kweli. Sawa hao wachache wametuharibia sifa. Kumbuka pia hao wahabeshi huko South Africa hawendi kutalii ni shida zinawapeleka. Ujuwe hilo
Bila kusahau hata Watz wanaenda hio SA omba omba tu.
 
Hayo ni maoni yangu. Kuna Wakenya bado wanampenda Ruto lakini wengi wameanza kumuogopa. Mimi mwenyewe sijawahi penda huyo jamaa kutoka kitambo.

Kama ni mwizi mbona hajapelekwa mahakamani?
Maana DPP wenu mnamsifia sana.
 
Bila kusahau hata Watz wanaenda hio SA omba omba tu.
Hivi ninyi majambazi yenu yamejaa katika magereza ya Tanzania, na wengine wameuliwa, mbona hatuwasumbui?, ombaomba na jambazi, kipi ni kibaya?, majizi na majambazi wakubwa ninyi, ndio sababu hatutaki kuwaruhusu kuja bila Passport.
 
Ukiwaona wanaongea hivo ujue wamebanwa kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ninyi majambazi yenu yamejaa katika magereza ya Tanzania, na wengine wameuliwa, mbona hatuwasumbui?, ombaomba na jambazi, kipi ni kibaya?, majizi na majambazi wakubwa ninyi, ndio sababu hatutaki kuwaruhusu kuja bila Passport.
 
"Kenya haitorudi tena barabarani"...."matatizo yatazidi kuongezeka" ......."mtapiga kelele na kulaumiana lakini hakuna jipya".

Nimesoma tu fikra za kishetani za mtu ambaye ana roho mbaya,chuki sana na haitakii Kenya mema hata kidogo. To see Kenya burn gives you pleasure but let me tell you you're not God ukisema hayo.Even God gives redemption to the wayward so who are you to proclaim otherwise?
 
Kiongozi wenu kasema mjifunze Tanzania lakini bado mnambishia sijui mko namna gani ninyi?
 
Anawavisha watanzania kilemba cha ukoka.
Hahahaha, endeleeni na kiburi chenu muone jinsi jumba bovu linavyoendelea kuwavunjikia, tayari nchi yenu imeshatoka barabari inaelekea kusikojulikana.
 
Kama si Nyerere Tz ingekuwa ilipiku Kenya miaka ya 70. Thanks to Kenyatta Sasa tunaongoza Ukanda wa East and Central Africa tukifuatwa na Ethiopia, Namba 3 wanajijua na ndio walioanzisha Uzi huu

Na kweli kenyatta aliwapa ulaji wakikuyu. Ndo maana ardhi yote yenye rutuba mnaimiliki ninyi.
 
Mfano aliotoa kwa Jiwe amekosea sana! Nahisi hajui kinachoendelea huko Chato....
 
Naona hiyo singo ya ombaomba mmeikamata kweli kweli. Sawa hao wachache wametuharibia sifa. Kumbuka pia hao wahabeshi huko South Africa hawendi kutalii ni shida zinawapeleka. Ujuwe hilo
Hakuna sifa wametuharibia hao ombaomba watz kama wapo Kenya watakuwa wameenda nchi sahihi kuombaomba Kwa sababu kuu Mbili
1 Kenya inatoshana nao Kwa sababu ya slum mob ombaomba wanapenda slum mf.wanapenda kuvaa nguo chafu chafu kuna jamaa alimpatia ombaomba nguo nzuri ombaomba akuzitaka kuzivaa
2 Uhuru ndiye ombaomba mkuu hivyo wapo Kwa baba yao kuunga mkono juhudi za kutembeza bakuli
 
Ni ujinga tu kuanzisha thread za kubishania ufahari kati ya Tanzania na Kenya. Binafsi naamini kuna vitu vingi vya nchi moja kujifunza na kuiga kutoka kwa nchi nyingine. Huwa nawaona kama wajinga tu watu wanaoanzishaga threads za namna hii, wa pande zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…