Kiongozi wa Kundi la Wahalifu Mombasa auawa kwa risasi

Hii ni kudhihirisha kwamba "we are getting development in every sector "
Aise asikwambie mtu kamanda, Tz kwa nchi zetu kiafrica na some asians, tunajitahidi sanaa, achana na hizi takwimu uchwara za kimagharibi, nimejionea.
 
Uko Tz ma gangs za uko kazi zao si juu ya kutelezesha wanawake tu?? Na kunjiitanga ati Panya road?? Akuna paali haiko gangs
Hizo zishazimwa mkuu, panya road kitambo walifutwa, hao teleza wamezimwa juzi juzi hapa, bongo tupo vizuri sana kiusalama. Trust me.
 
Mtoto yuko soft sana.uyo wananchi ata watano wangemtosha.
 
Ati msitudharau tuta export hiyo kikundi ya teleza huko kenya tuone mtakavyo kimbiana
Ma gang za uko kazi zao kubwa ni kuamsha hadi bunge yenyu. Hakuna mjadala tena bali kusemea wake zao wasijekuzaa toto tundu
 
Hizo zishazimwa mkuu, panya road kitambo walifutwa, hao teleza wamezimwa juzi juzi hapa, bongo tupo vizuri sana kiusalama. Trust me.
Hao teleza walizimwa kwa Ninja kusema bungeni kuwa hana habari na wanaobakwa au?? Mbona Zitto alilia bunge la bajeti au alitaka posho yake ya siku. Acha utani, nena Kibiti uka biti huko maneno haya uone
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahaha nlichokiona apa Kenya wanatetea Gangs zao Tz nao wanatetea Gangs zao... ila tu uyo Dulla mrembo Kinoma kama ni battle Tuna mtfia dogo wa Arusha wa miaka 12 .. anakaaa
 
Aliuliwa Kwa risasi sio Kwa panga,uliona cream usoni mwake?.

sisi huku kwetu bongo kiongozi wa panya road lazima ana alama alama hivi uson kuqshiria kwamba ni mtu wa purukushani.

sasa huko kwenu kiongoU wa waharifu ni beautiful /soft face
 
acha uongo wewe,
umesahau hapa juzi kati huko kigoma kuna kikundi cha watu wanaojiita teleza wakituhumiwa kubaka akina mama?.
Hahaha kiswahili ni kizuri Sana! Mkuu wakati wa kuiongelea Kenya kwa sifa ni kuandika kimalkia na kiswahili kwa mbali.

Ila chaka likichomwa kiswahili kinanyooka chenyewe.

Ila mkuu wa gang maarufu Eti anapambana na polisi kwa kutumia panga. Dah
 
sisi huku kwetu bongo kiongozi wa panya road lazima ana alama alama hivi uson kuqshiria kwamba ni mtu wa purukushani.

sasa huko kwenu kiongoU wa waharifu ni beautiful /soft face
Siku hizi watu wanaongoza makundi kijanja ukijionesha si utauwawa tu,pia wanaojieka alama ni wale wa kundi la Gaza ,alama zao ni tattoo na kuvaa chain kibao na Wana Meno ya Shaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…