Kiongozi wa Kundi la Wahalifu Mombasa auawa kwa risasi

sisi huku kwetu bongo kiongozi wa panya road lazima ana alama alama hivi uson kuqshiria kwamba ni mtu wa purukushani.

sasa huko kwenu kiongoU wa waharifu ni beautiful /soft face
Duh! Eti beautiful? Mwanamme pia anakua beautiful! Uongozi sio maumbile Ila ni mchango wako na uwezo wa kushawishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…