Leo Oktoba 15, 2025 Kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi nchini Madagascar, Kanali Michael Randrianirina, amesema kwamba “anachukua nafasi ya urais” baada ya kumng’oa madarakani Rais Andry Rajoelina
Akizungumza na Shirika la Habari la Associated Press akiwa kambini kwake, Kanali Randrianirina alisema anatarajia kuapishwa kuwa kiongozi mpya wa taifa hilo la kisiwa katika siku chache zijazo
Amesema amechukua wadhifa wa mkuu wa nchi kufuatia mwaliko kutoka Mahakama Kuu ya Katiba, baada ya Rais Rajoelina kukimbia nchi kufuatia uasi wa kijeshi ulioongozwa na askari wake
Mapema Jumanne, Ikulu ya Madagascar ililaani hatua ya kitengo cha jeshi cha Army Personnel Administration Center (CAPSAT) kujitangazia kusimamisha katiba, ikisema ni “tamko lisilo halali” na ni jaribio la wazi la kuvunja utawala wa kikatiba
=============
Madagascar's military coup leader told The Associated Press at his barracks on Wednesday that he is "taking the position of president"
Colonel Michael Randrianirina, who led a rebellion by soldiers that ousted President Andry Rajoelina, said he expects to be sworn in as the Indian Ocean country's new leader in the next few days
He said he is taking the role as head of state after the country's High Constitutional Court invited him to do so in the absence of Rajoelina, who fled Madagascar following the uprising
Earlier on Tuesday, Madagascar's presidency condemned what it called the "illegal declaration" by the Army Personnel Administration Center (CAPSAT) military unit to suspend the constitution
Source: The Associated Press & TRT AFRIKA