Watu bado wanatafuna pesa tu za serikali? Posho zimerudi, semina zimerudi, Shimiwi imerudi, washa zimerudi, mikutano imerudi, kongomano zimerudi, overtime zimerudi, fulana na kofia za semina wanavaa, kule Morogoro jioni baada ya semina wanakesha Star Park, Terminal Pub na Samakisamaki siku hizi, lakini haziwatoshi bado wanatafuna pesa za miradi.
Wanahaki ya kupromoti "Mitano tena Kwa mama". Mchawi ni umri tu wa kustaafu.
Wanahaki ya kupromoti "Mitano tena Kwa mama". Mchawi ni umri tu wa kustaafu.