Kiongozi wa zamani wa Bolivia ajaribu kujiua akiwa Gerezani

Kiongozi wa zamani wa Bolivia ajaribu kujiua akiwa Gerezani

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Rais wa zamani wa mpito wa Bolivia Jeanine Anez amefanya jaribio la kujiua akiwa jela siku moja baada ya kufunguliwa mashtaka ya "mauaji ya halaiki" kutokana na vifo vya waandamanaji vilivyotokea mwaka 2019.

Mmoja ya mawakili wa Anez, Jorge Valda, amesema kiongozi huyo wa zamani ambaye amefadhaishwa na tuhuma zinazomkabili alijaribu kuondoa uhai wake lakini jaribio hilo limeshindwa.

Anez, amekuwa jela tangu mwezi Machi mwaka huu kwa madai ya kufanya mapinduzi dhidi ya mtangulizi wake na rais wa zamani wa Bolivia, Evo Morales.

Mwanasiasa huyo anayeegemea sera za kihafidhina aliingia madarakani kama kiongozi wa mpito mwaka 2019 baada ya Morales kujiuzulu na kuikimbia nchi hiyo lakini wapinzani wanasema hatua yake ya kuchukua madaraka ilikuwa sawa na mapinduzi.
 
CCM jiandaeni, mtakitafuta kifo nacho kifo kitawakimbia

CCM walaini kama keki ila hutegemea polisi ndio maana huwapa zana za kutupiga sisi wananchi. Lakini ipo siku kama yule Rais wa Liberia au Libya yatawakuta nao

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Sasa wameanza kutukamua na kwenye Luku ***** zao hawa..
 
Duuu, huyu si raisi ambaye wali fremu video ya ngono bayo ilisambaaa sana baada ya kuingia madarakani
 
Back
Top Bottom