P Pantosha JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 640 Reaction score 958 Jan 31, 2025 #1 Nadhani ni muda muafaka wa kusambaza kwa nguvu zote ujumbe uliopo kwenye AZIMIO LA ARUSHA. Hii document imezikwa ili Watanzania waendelee kutawaliwa na walafi wachache. Nakushauri ukiwa unasoma Azimio la Arusha, weka sauti ya ukali kidogo 🤣🤣🤣🤣
Nadhani ni muda muafaka wa kusambaza kwa nguvu zote ujumbe uliopo kwenye AZIMIO LA ARUSHA. Hii document imezikwa ili Watanzania waendelee kutawaliwa na walafi wachache. Nakushauri ukiwa unasoma Azimio la Arusha, weka sauti ya ukali kidogo 🤣🤣🤣🤣