ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo,bila unafiki ile nyimbo ni Kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile nyimbo kwenye Stations zao kwani Neyo kaimba kwa hisiaaaa sipati picha video itakuwaje lakini kwa nyimbo ile shikamoo Diamond
Wamarekani wataipiga sana hiyo ngoma kwenye redio zao?
Wamarekani unawajua unawasikia...?
Wamarekani wataipiga sana hiyo ngoma kwenye redio zao?
Wamarekani unawajua unawasikia...?
Hiyo nyimbo aliyo imba baada ya kumwita Diamond ndo ngoma yenyewee hiyo!Weka jamvini tuiskie ila Jana nilikuwa jembe ni jembe festival alivyopanda stegin akamwita diamond waliimba pale kwa stage ebana ilikuwa hatar bonge la ngoma wish wimbo huu diamond utamfikisha mbali kimataifa and I wish hii nomination aliyoipata BET award anaweza kuibeba.
Ila neyo ni mbonge la msanii sikutegemea show kama angeivuruga kiasi kile du!wenzetu wametuzidi Sana tukija kufika level hizi....
Hata ile Je utanipenda ulisema hivi hviSijawahi kuona nyimbo mbaya kama ile
Ilibamba sana....kanyimbo katamu walituonjesha tu lakini kanaelewekaMm nilibatika kumuona Hyatt regency pale club rouge so nahamin waliogalia show yake wameenjoy sana mwz
Team kiba bana...Sijawahi kuona nyimbo mbaya kama ile