(KIONJO) Diamond Ft Neyo: Hakika hii ndio nyimbo

Itapigwa sana Tanzania lakini kule 15 minutes of fame are already up. Hata kwenye redio zao inaweza isifike.
Ukiona msanii wa calibre ya Neyo kukubali kuota kifriji ujue kashakubali matokeo.
 
Ebwana eeh trela zuri bado hilo picha lenyewe ngoja tuhifadhi maneno kwanza
 
Psqure waliimba na rick Ross kwa sharti ispigwe marekani hahahahah yaaani alietusua ni mmoja tu wizkid Basi alioshirikishwa na Drake pini lao one dance basi
 
nyimbo yenyewe mbovu dah mnatoaga sifa za bure mmarekani awez kupiga hyo k2 wakati wasanii wao wapo tena wanawajali kuliko hapa bongo
 
We danya Hiyo nyimbo inapigwa africa TU, siyo globally kama unavyo fikiria wewe kama hujuwi uliza
 
Mkuu jana waliamua kuimba demo ya huu wimbo kuwashtua mashabiki kidogo, hii nyimbo ukiisikilza iliyokamilika utakubaliana na mimi diamond ni level nyingine
Iliyokamilika ndiyo ipi hebu acha mbwembwe , tusiwe waongo au kwasababu neyo yumo humu ndani kwa kweli nyimbo hii ni mbaya sio kila kitu unafuata mkumbo sema ukweli.... Yani hi nyimbo haifikii Zigo remix ay ft domo hataaaa
 
Iliyokamilika ndiyo ipi hebu acha mbwembwe , tusiwe waongo au kwasababu neyo yumo humu ndani kwa kweli nyimbo hii ni mbaya sio kila kitu unafuata mkumbo sema ukweli.... Yani hi nyimbo haifikii Zigo remix ay ft domo hataaaa
Hujui unachoongea kitwanga zimekukolea subiri nyimbo itake ndo utatafuta pakujificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…