Kioo cha gari aina ya NISSAN SERENA 1997 MODEL

Kioo cha gari aina ya NISSAN SERENA 1997 MODEL

Naweza kupata wapi KIOO cha mbele (wind shield) kwa gari aina ya NISSAN Serena 1997. tufanye biashara mwenye nacho
Nenda kariakoo kariakoo wanakouza spea za magari used kutizamana na stendi ya msbasi ya mwendo kasi kuna la vioo vya magari utapata bila shida
 
Jaribu Arusha kwa wauzaji spare za Nissan , stadium upande wa CCM building na maeneo mengine hapo mjini
 
Kama upo DAR nenda mtaa wa fire karibu na hospital ya Dr Abbas utapata pia kama utakosa nenda mtaa wa shaurimoyo tembea na mtaa wote wa Lindi Hadi ilala
 
Natafuta Springs (za kwenye suspensions).
Mkuu umejaribu kutafuta mitaa hiyo ambayo nimetaja? Kama Huko kote umeshindwa nenda tandale huku aisee kuna spare nyingi Sana za kwenye magari ya kukata
 
Picha tafadhali.

Kuna Nissan Serena ya jirani yangu kwasasa ipo juu ya mawe zaidi ya miaka 15, ebu picha yake nipne kama zinafanana nikuunganishe naye mfanye biashara ya kioo na matakataka mengine ya kwenye hiyo gari.
 
Back
Top Bottom