Nenda kariakoo kariakoo wanakouza spea za magari used kutizamana na stendi ya msbasi ya mwendo kasi kuna la vioo vya magari utapata bila shidaNaweza kupata wapi KIOO cha mbele (wind shield) kwa gari aina ya NISSAN Serena 1997. tufanye biashara mwenye nacho
Natafuta Springs (za kwenye suspensions).Kama upo DAR nenda mtaa wa fire karibu na hospital ya Dr Abbas utapata pia kama utakosa nenda mtaa wa shaurimoyo tembea na mtaa wote wa Lindi Hadi ilala
Mkuu umejaribu kutafuta mitaa hiyo ambayo nimetaja? Kama Huko kote umeshindwa nenda tandale huku aisee kuna spare nyingi Sana za kwenye magari ya kukataNatafuta Springs (za kwenye suspensions).
Picha ndyo ingerahisisha ujumbe mkuuNaweza kupata wapi KIOO cha mbele (wind shield) kwa gari aina ya NISSAN Serena 1997. tufanye biashara mwenye nacho