Wakuu kwa bahati mbaya kioo cha kamera ya simu yangu aina ya Infinix Hot 11 (kamera tatu Kwa nyuma). Kimecrack hivyo kufanya camera kutokupiga picha angavu. Msaada Kwa wapi naweza pata replacement na itakuwa bei gani. Kwa Sasa nipo Mwanza.