January tarehe 30. Ambayo bado hajafika.hiki kioo nimeweka kipya mwez Jan trh 30,
sasa leo nikiwa nasafisha gari, kwenye kioo cha nyuma kwa kutumia maji sabuni ya unga na mchanga kdg ili kuondoa magundi yaliyong'ang'ania ,
mara ghafla nkasikia kishindo,
kuangalia huku na kule, kioo cha nyuma kimelipuka na kupasuka vipande vipande,
hapo shida ni nin wadau,
gari ni succeed.
Sent using Jamii Forums mobile app
January tarehe 30. Ambayo bado hajafika.
Hayo majini yako yaambie mamamamae zake na mama zao,wajomba,mashangazi na sehemu zao za kutolea haja kubwa.
bado hamjaeleeza source n nn,
mchanga nimechovya kdg tu, na nilikuwa Nasugua trtb sana tena kwa maji yenye povu,
kama mchanga ni sumu basi kioo vingeshapasuka sana,
maake barabaran ndio vimetawala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari aina gani? Kioo cha kwanza kilipasukaje? Kilianza tu au kilipigwa na kitu?
Babu naamini kabisa aliekomenti hapa sio wewe bali ni K-Vant.January tarehe 30. Ambayo bado hajafika.
Hayo majini yako yaambie mamamamae zake na mama zao,wajomba,mashangazi na sehemu zao za kutolea haja kubwa.
Hahahaha dah!Babu naamini kabisa aliekomenti hapa sio wewe bali ni K-Vant.
Sent from my DUB-LX1 using Tapatalk
Pole sana kwa mkasa mkuu...hiki kioo nimeweka kipya mwez Jan trh 30,