Kioo cha TV aina ya ZEC 24"

Kioo cha TV aina ya ZEC 24"

Jitu Kabeja Diggala

Senior Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
165
Reaction score
184
Mambo vipi wadau,

kuna ka tv kangu kalianguka kakavunjika kioo,nlikuwa nauliza kama nitapata kioo saizi hiyo kwa kampuni hiyo na kwa bei gani pia,au kama vioo vinaingilianaga basi nichukue chochote cha bei ndogo.

Asanteni,nawasubiri wakuu
 
baba usipoteze muda. TV 24” hata laki 2 haifiki. nunua mpya usikute io ina shida nyingine
 
njoo nikuuzie nch 32 kwa 280000
Mambo vp wadau,kuna ka tv kangu kalianguka kakavunjika kioo,nlikuwa nauliza kama nitapata kioo saizi hiyo kwa kampuni hiyo na kwa bei gani pia,au kama vioo vinaingilianaga basi nichukue chochote cha bei ndogo
Asanteni,nawasubiri wakuu
 
Back
Top Bottom