kuna ka tv kangu kalianguka kakavunjika kioo,nlikuwa nauliza kama nitapata kioo saizi hiyo kwa kampuni hiyo na kwa bei gani pia,au kama vioo vinaingilianaga basi nichukue chochote cha bei ndogo.
Mambo vp wadau,kuna ka tv kangu kalianguka kakavunjika kioo,nlikuwa nauliza kama nitapata kioo saizi hiyo kwa kampuni hiyo na kwa bei gani pia,au kama vioo vinaingilianaga basi nichukue chochote cha bei ndogo
Asanteni,nawasubiri wakuu