Kipa Ally Salim anapaswa afundishwe jinsi ya kukaa golini penati zinapopigwa

Jemedari Kumbe yupo very fair katika chambuzi zake .
poor referee hii ni aibu kubwa, hakuna mwamuzi wa viwango vya kimataifa Tanzania ni wabeba bahasha tu au wenye mapenzi na timu Yao pendwa .
Hata magoli yaliyokataliwa ni utata mtupu .
Next derby ipendekezwe aletwe refa wa nje ya Tanzania
Game mbili zimeharibiwa na referees tena wadada
 
Mtalia sana mwaka huu
 
Ulishawahi kusikia kisa cha goli la mkono wa "mungu"?
 
Sheria za penati hazipo poa!! Zinambana golikipa lakini hazimbani mpigaji!! Wapigaji wasingeruhusiwa kutishia kupiga na kusita kisha wanapiga baada ya kipa kuwa amesharuka!!
 
Lakini mwamnyeto alipozuia mpira kwa mkono ndani ya penalty box rafa alikuwa sahihi alipoacha kutoa penati!! Ukiamua kumlaumu refa mlaumu matukio yote hata yale yaliyotoa faida kwenye timu yako!!
 
Kweli hakuna wapigaji penalty pale.
 
Vp kuhusu zile penalty ndani ya dkika 90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…