OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nampongeza sana Makaka kwa kazi nzuri. Amepangua goli kama 7 hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
napenda sana swags za Kiduku. Ngumi zinaenda vizuri hakuna kona kona. Show show....Mako dinda mako stamina..bendera chuma mlingoti chumaHili shuti ni zaidi ya makombora ya kiduku.
Wanabutua nje kwenye parking ya magari.Hao wanaosema wanasajili vijana, vijana wao wanaweza kupiga mashuti kama hayo
Bingwa wa makombora yuko Simba na jina lake ni SAID NDEMLA.Ivi lile la mapinduzi balama Manura angejaribu kujitikisa si tungekua tumemsahau maana baada ya mechi MO ilibidi amkatie bima baada ya kuona ile hatari ya lile shuti.