Simba sio timu ya wastaafuViongozi wa Berkane ni matapeli pia.
Viongozi wa FAR rabat ni matapeli pia, maana alikuwa kipa wao namba moja mpaka wanachukua Ubingwa.
Ayoub ana miaka mingapi?
wewe ukocha ulisomea wapi?Huyu kipa ijapo hajafungwa lakini anaonekana hana kabisa character ya ukipa.
Anadaka kama kipa wa timu ya veterans
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Unataka kuniajiri?wewe ukocha ulisomea wapi?
Hahahahahahahahahahahahahha.....Tanzania kila mtu kocha mchambuzi, huwa najiuliza huyu Baleke huko alikotoka alikuwa anacheza mpira kweli?
Mkuu unafurahisha Sana huwa nasoma post zako.. unanifurahisha sana.😅Huyu kipa ijapo hajafungwa lakini anaonekana hana kabisa character ya ukipa.
Anadaka kama kipa wa timu ya veterans
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unataka kuniajiri?
Acha ushamba basi hapa sio mahali pa kutambiana vyeti
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
We hujui quality ya Baleke?Tanzania kila mtu kocha mchambuzi, huwa najiuliza huyu Baleke huko alikotoka alikuwa anacheza mpira kweli?
Kweli maana wao ndo wanahusika katika sajili zoteHuyu mangungu na try again ndio wanaharibu simba sijajua kinacholinda wasiondoke nini..takataka kabisa hizi mtu 2
Shirikisha akili yako.Kosa la kipa leo ni nini ewe mchambuzi uchwara?
Kwa hiyo hujaona save alizofanya ?Shirikisha akili yako.
Kwamba hajafungwa kizembe,ni kwa sababu mpinzani hakujaribu kufanya hivyo mara nyingi
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app