Kipa Bora anatokana na Beki Bora na Beki Bora anatokana na kipa Bora"vice versa is true"

NAKAZIAAAA.
 
Ieleweke Diarra kafungwa game 2 hizo goli 4 ana Cleansheet 5 Ally Salim kafungwa game 4 hizo goli 5 unaona utofauti hapo?
 
KWELI KABISA
 
TENA MASHABIKI WA VIBANDA UMIZA NDIYO WABISHI HASWAAAAA.
 
Ally Salim anapangiwa kwa maelekezo ya viongozi, haiwezekani kipa afanye makosa yanayofanana mechi tatu mfululizo aendelee kupangwa. Kama Simba wangempanga mwarabu walipocheza na Al ahly angeweza kutuliza timu pale inaposhambuliwa na hata kucheza na saikolojia za waarabu Kama kupoteza.muda na mengineyo.
 
Mleta mada unaleta pumba El shenawy alivyofungwa goli dhidi ya mamelod juzi ililiona? Lile la kanute je? Ni kweli dogo mechi zingine anazingua lakini sio mechi ya ihefu
 
Kuna wakati mwingine huwa akili zinakurudia na kuandika vitu vyenye mantiki!! Shida ni kwamba hii hutokea nadra sana kama kaka kuona kama hivi leo!! Lakini sijawahi kuona umeandika vitu vyenye mantiki kuihusu Yanga!! Unazi umekupofusha macho!!!

Si kawaida yako kutokuandika nyuzi nyingi sana Simba inavyokabiliwa na mchezo muhimu!! Ila safari hii naona kimya, kulikoni?? Nasubiri kusikia ukisema Simba 0 - 5 Yanga!! Kimya hiki kinaashiria unatarajia maumivu!!
 
TULIA HIVYO HIVYO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…