Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
sasa kati ya hao wawili nani ni mkali zaidi?Iddi Pazi alikuwa bora lakini hakuna kama Omar Mahadhi bin Jabir
Omar Mahadhi bin Jabirsasa kati ya hao wawili nani ni mkali zaidi?
nakuunga mkono huyo kipa mahiri kushinda woote waliopata kuwepo msimbaziOmar mahadhi Bin Jabir ndio kipa pekee wa Tanzania aliyeichezea timu ya wachezaji nyota wa Afrika nzima enzi hizo. Walikwenda wawili, yeye na Maulid Dilunga wa Yanga. Hao wachezaji ingekuwa sasa, wangeweza kuichezea timu yoyote ya ligi kuu za Ulaya na wangekuwa nyota.
Unajua video camera zimeanza lini kuingia TZ?Wacha tuseme kuwa ni Kaseja peke yake ndo clip zake zaweza kupatikana online.Wekeni clip zao hapa tuone wengine hatukuwepo kipindi hicho.
Wekeni clip zao hapa tuone wengine hatukuwepo kipindi hicho.
Wewe unajua soka. Omar Mahadh Bin Jabir atabaki kuwa top goalkeeper in the history of soccer ya TanzaniaOmar mahadhi Bin Jabir ndio kipa pekee wa Tanzania aliyeichezea timu ya wachezaji nyota wa Afrika nzima enzi hizo. Walikwenda wawili, yeye na Maulid Dilunga wa Yanga. Hao wachezaji ingekuwa sasa, wangeweza kuichezea timu yoyote ya ligi kuu za Ulaya na wangekuwa nyota.
Hii survey sio ya kiufundi. Kuna mtu hapa amewahi kuwaona wote "tangu klabu ianzishwe?"tangu -labu ilipoanzishwa?