Kichuya anahitaji kufanya gym sanaDanny hana matatizo katika positioning, kuhamisha na kupanga beki.Tatizo lake ni kudharau washambuliaji wa timu pinzani.Anapaswa tu kuonywa aache utani.Timu inatatizo kubwa kwenye stricking force.Atanasi acheze pembeni na awepo mtu wakupoke cross na kuzipeleka golini.Kichuya hana uwezo kwa sasa labda afanye zoezi la kufa mtu ndiyo atarudi kwenye kiwango.
hapa namkubali sana Kaseja kwa uanzishaji wa mipiraAna tatizo pia katika uanzishaji wa mipira kwa wachezaji wake alifanya hivyo mechi ya kirafiki na mtibwa chamanzi,akarudia kosa hilo na ndanda,pia na jkt ruvu na mechi na taifa jang`ombe namna anavorusha mipira kuanzisha kama anakutana na washambukiaji wajanja kama tambwe au ngoma ni rahisi kusema ni mamluki