Kipa mpya wa simba ni majeruhi

Sioni cha ajabu hapo, maana waliomleta sawadogo ndo hawa hawa wamemleta Mbrazil 😂
 
Hata akiwa majeruhi kweli bado upumbavu utakuwa mkubwa sana.Kuna watu wamegeuza kuiba kama haki.
 
Amepata majeraha mazoezini au amesajiliwa akiwa majeruhi?😣
 
Huwezi kuwa na jamii iliyojaa watu wa hovyo halafu eti miongoni mwao ukapata viongozi makini, Never!!
Hivi mlivyotangaziwa hili jina mkuu si mlikuja hapa povu kama lote, sio nyie mliokuwa mnasema mmepata kipa anadaka mpaka mawazo ya mpigaji, sio nyie mliokuwa mnasema mmepata kipa anadaka hadi nzi akipita golini, anadaka hadi upepo?

Kweli makolo ni makolo tu
 
Yule kipa sio majuruhi bali usajili umegoma. Uongozi na Micky wanachofanya ni deception ili kukwepa lawama.
Yule kipa sio mbaya na Mpaka hapo Sioni kosa la kocha. Yeye kaleta mchezaji ilikuwa ni wajibu wa viongozi kuzingatia vigezo vya usajili.
 
Ficha Utopolo wako. Kosa la mashabiki ni lipi? Kwani huyo mchezaji ni mbovu? Hata kama kapata injury, haya huyo Manula aliye na injury ni mbaya?
 
NILIWAONYA SANA SIMBA
NILISEMA WACHEZAJI WA NJE YA AFRICA SIJWAHI KUWA NA IMANI NAO.
 
Ficha Utopolo wako. Kosa la mashabiki ni lipi? Kwani huyo mchezaji ni mbovu? Hata kama kapata injury, haya huyo Manula aliye na injury ni mbaya?
Sasa kwann unaulaumu uongozi wewe usiye mtopolo?
 
But mi nahisi hilo la majeraha yaweza kua ni kupoza tu mashabiki ila tatizo laweza kua TFF imegoma kumuingiza kwenye mfumo wa usajili kwa kutokukidhi vigezo.

Kipindi cha leo cha Sports Am cha azam nao wameliongelea hilo
Hii ndio sababu. Wameona wazuge mgonjwa kuficha uzembe wao.
 
Aisee! Kila mwaka wahuni lazima wanampiga mwekezaji tukio.
 
Wamesikia kuna timu imekula 10-0 huku, wanaanza kujamba jamba huko kambini.
 
Au walisikia Yanga inataka kumsajili wakamteka Airport? Tehe tehe teheeee.
 
Kipa mpya anakuaje majeruhi tena au mimi ndo sielewi hiki kiswahili kilichoandikwa?![emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…