[FONT=garamond, serif]Kipa wa arsenal alishindwa kuvumilia na kuamua kumfuata muokota mipira(Ball -Boy) na kumkumbatia baada ya Theo Walcot kufunga goli la tano dhidi ya Tottenham Hotspurs katika mechi iliyopigwa jumapili mwisho wa wiki iliyopita.[/FONT]