Kipa wa Azam kumbe hamna kitu jana kapigwa 5

Kipa wa Azam kumbe hamna kitu jana kapigwa 5

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Azam jana wamefurukuta kwa waarabu ila yule kipa bonge la mtu kaingia wavuni mars tano

Shukrani kws linesman kukataa mabao mawili

Azam kunani pale

Aliyegundua icecream za ukwaju apewe timu anaonekana ana akili nyingi
 
Aliyegundua icecream za ukwaju apewe timu anaonekana ana akili nyingi
Aiseee maukwaju matamu Sana Yale...sema nikipiga 1 bottle vidonda vya tumbo vinaniadhibu ....
 
Back
Top Bottom