M Mdukuzii JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 2,552 Reaction score 6,422 Oct 9, 2022 #1 Azam jana wamefurukuta kwa waarabu ila yule kipa bonge la mtu kaingia wavuni mars tano Shukrani kws linesman kukataa mabao mawili Azam kunani pale Aliyegundua icecream za ukwaju apewe timu anaonekana ana akili nyingi
Azam jana wamefurukuta kwa waarabu ila yule kipa bonge la mtu kaingia wavuni mars tano Shukrani kws linesman kukataa mabao mawili Azam kunani pale Aliyegundua icecream za ukwaju apewe timu anaonekana ana akili nyingi
Nurain JF-Expert Member Joined Apr 28, 2022 Posts 2,403 Reaction score 5,315 Oct 9, 2022 #2 Mdukuzii said: Aliyegundua icecream za ukwaju apewe timu anaonekana ana akili nyingi Click to expand... Aiseee maukwaju matamu Sana Yale...sema nikipiga 1 bottle vidonda vya tumbo vinaniadhibu ....
Mdukuzii said: Aliyegundua icecream za ukwaju apewe timu anaonekana ana akili nyingi Click to expand... Aiseee maukwaju matamu Sana Yale...sema nikipiga 1 bottle vidonda vya tumbo vinaniadhibu ....