Kipa wa Mamelod Sundowns Rollen William aongoza kwenye kura za mashabiki tuzo za Ballon D'or 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Kipa wa Mamelod Sundowns Rollen William aongoza kwenye kura za mashabiki tuzo za Ballon D'or mwaka 2024 Upande wa Makipa akiwa na asilimia 55.9% akifatiwa na kipa wa Madrid A.Lounine akiwa na asilimia 21.9% hapo awali ziliongozwa na kipa was Real Madrid Lounine. kwa asilimia 59% kabla ya kipa wa Mamelod kumpiku.

Kwa Upande wa men's Ballon d'or kura zinaongozwa na Vinicius 42. 2% akifatiwa na Jude Bellingham akiwa na 10%.

Soma Pia: Nani kuwarithi Messi na Ronaldo katika Ballon d'Or 2024?


 
Huyu huyu alipigwa na Aziz Ki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…