Magoli si alifunga refaKwa mbeleko ya refa
Pcb c combinationHili jambo ni kubwa..inabidi pcb walifatilie na ikiwa itathibitika hizi habar ni za kweli wahusika wapelekwe mahakaman na sheria ichukue mkondo wake
Magoli si alifunga refa
We unabifu tu na watt wa catalunyaMbeleko
AjabuMagolikipa Siku hizi wanacheza mpira na simu?
Siku Man U aliposawazisha, Kaburu wa Man U aliingia vyumbani kwa Bayern wakati wa mapumziko?Man U walishinda kombe la UEFA dhidi ya Bayern Munich kwa kusawazisha goli na kushinda ndani ya dakika 2. Na kuchukua kombe, sijui ajabu ni nini kwa simba kusawazisha na kushinda ndani ya dk 10
RefaHawa nao wana bifu na nani??
NashangaaMagolikipa Siku hizi wanacheza mpira na simu?
Kama walivyo mikia (simba) kucheza Mpira wa mezaniMagolikipa Siku hizi wanacheza mpira na simu?