mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Goli kipa raia wa Sudani kusini Yogusuk Simon ambaye amefikisha miaka 20, picha zake zilianza kusambaa miaka miwili nyuma 2022 kwenye mitandao ya kijamii zilizoibuz maswali mengi kwa mashabiki wa soka na kushangaza utofauti uliopo kati ya muonekano wake na umri wake. umri wake na muonekano wake vinaendana??